Skip to main content
Skip to main content

Idara ya mahakama imetakiwa kuzingatia viwango vya uhuru

  • | KBC Video
    77 views
    Duration: 5:03
    Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki anaitaka idara ya mahakama kuzingatia viwango vyake vya uhuru ili kutekeleza vyema haki na kuepuka kusimamisha mipango ya serikali inayonuiwa kuinua hali ya maisha ya wakenya.Akiongea katika mahakama ya juu jijini Nairobi, wakati wa uzinduzi wa ripoti hali ya mahakama na utekelezaji wa haki ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025,Kindiki alitoa wito wa ushirikiano zaidi kati ya asasi zote tatu za serikali, ili kuhakikisha haki inatendwa kwa wakati ufaao na inafikiwa kwa urahisi na wakenya wote. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive