Serikali ya China inashirikiana na jamii kuunganisha huduma za afya na elimu ya awali ili kukuza maendeleo ya watoto wachanga na wale wadogo. Mpango huu unalenga kuhakikisha ukuaji mzuri wa kimwili, kihisia, na kiakili kupitia huduma za kibinafsi zinazojumuisha tiba, lishe, na malezi ya kielimu. Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive