- 173 viewsDuration: 2:44Kiwanda cha kwanza duniani chenye teknolojia ya kisasa ya kuunda magari yanayopaa angani kimeanza uzalishaji wa majaribio mjini Guangzhou, mji mkuu wa mkoa wa Guangdong kusini mwa China. Wachambuzi wanasema hii ni hatua kubwa ya kibiashara kwa usafiri wa kizazi kijacho. Maelezo zaidi ni katika makala ya Ifahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive