Katika makala ya ifahamu China Miradi ya umeme unaotokana na maji ya Mengdigou na Yagen, Daraja la Kwanza nchini China, limefanikiwa kubadilisha mtiririko wa Mto Yalong kwa wakati mmoja. Hii ni hatua muhimu inayowezesha kuanza kwa awamu kuu ya ujenzi wa mabwawa na kuokoa muda na gharama kubwa za ujenzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive