Skip to main content
Skip to main content

Jamii yahimizwa kukomesha unyanyapaa kuhusu hisia za wanaume

  • | KBC Video
    59 views
    Duration: 3:01
    Wanaume wamehimizwa kutafuta mwongozo wanapokabiliana na changamoto za kifamilia au kijamii. Kulingana na wataalamu, wanaume wengi hukabiliana na matatizo yao kimya kimya, hali ambayo inaweza kusababisha changamoto za afya ya akili. Wito huu ulitolewa wakati wa mkutano wa afya ya wanaume uliofanyika jijini Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive