- 40 viewsDuration: 1:49Juhudi za kuendeleza uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika Kaunti ya Lamu zinazidi kushika kasi, huku viongozi wakiwahimiza wanawake kuchukua majukumu zaidi katika vikundi vya maendeleo ya jamii ili kunufaika kikamilifu na miradi ya serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive