Tume huru ya uchaguzi na mipaka, IEBC imesisitiza kwamba chaguzi ndogo za siku ya Alhamisi wiki hii zitakuwa huru, za haki na zenye uadilifu. Haya yanawadia huku mirengo yote husika ikielekezana vidole vya lawama kuhusu madai ya utoaji hongo na njama za kuiba kura wakati wa chaguzi hizo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive