Skip to main content
Skip to main content

Kapu la Biashara | Kampuni ya Mars Wrigley yafungua kiwanda cha pipi Kenya

  • | KBC Video
    316 views
    Duration: 2:58
    Kampuni ya Mars Wrigley imewekeza shilingi bilioni 4.3 kwa upanuzi wa shughuli zake za utengenezaji pipi humu nchini. Meneja mkuu wa kampuni ya Mars Wrigley, kanda ya Afrika kusini mwa jangwa la Sahara, Ismael Bello amesema kampuni hiyo inanuia kutumia Kenya kama kitovu cha usambazaji wa pipi kwa mataifa ya bara hili. Yafuatayo ni makala yetu ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive