- 166 viewsDuration: 3:18Kundi la wakulima kutoka Laikipia limenakili ongezeko la mazao baada ya kupokea mafunzo kabambe ya kilimo kutoka kwa shirika la chakula na kilimo. Mafunzo hayo yanayoangazia kilimo bora, yamewasaidia wakulima kufahamu mbinu za kustahimili athari za mabadiliko ya tabia nchi na kuendeleza kilimo mwaka mzima. Taarifa kwa kina ni kwenye mseto wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive