Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Isiolo kutumia sola kusambaza maji

  • | KBC Video
    27 views
    Duration: 2:14
    Shirika lisilo la kiserikali limeweka mtambo wa kawi ya miale ya jua ya thamani ya shilingi milioni 4.3 katika Kiwanda cha Kusafisha Maji cha Kambi ya Juu, Kaunti ya Isiolo, ili kupunguza gharama za umeme na kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa eneo la Bulapesa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive