- 43 viewsDuration: 1:56Serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na shirika la AMREF imepiga hatua kubwa katika juhudi za kukabiliana na magonjwa ya hydrocele na matendeguu kupitia kambi za matibabu bila malipo na huduma jumuishi za afya. Kwenye mpango huo uliozinduliwa miaka minne iliyopita, wagonjwa zaidi ya 300 wakiwemo watoto na wazee wamefanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa ugonjwa wa Hydrocele Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive