Kaunti ya Kisumu imezindua kielelezo cha takwimu kitakachotoa mwongozo kuhusu ugavi wa rasilimali katika mwaka huu wa kifedha. Naibu Gavana wa kaunti ya Kisumu, Dkt. Mathews Owili, anasema hatua hiyo ni sehemu ya mpango mahsusi wa kuendeleza ukuaji uliojikita kwenye takwimu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive