Skip to main content
Skip to main content

Kenya bado imesalia nyuma katika ulinzi wa watoto mtandaoni

  • | KBC Video
    56 views
    Duration: 2:00
    Kenya iko katika hatari ya kusalia nyuma katika jitihada zinazoendelea za kulinda watoto mtandaoni. Wataalamu wa usalama wa watoto wanaonya kwamba maudhui hatarishi ya kidijitali, yakiwemo yale yanayoundwa na akili mnemba , yanabadilika kwa kasi kuliko sheria zinazopaswa kuyadhibiti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive