Skip to main content
Skip to main content

Kenya na Austria zimejitolea kubuni ajira ughaibuni

  • | KBC Video
    359 views
    Duration: 3:01
    Serikali za Kenya na Austria zimewashauri wakenya wanaotafuta ajira nje ya nchi kuwa wajihadhari na mashirika bandia ya uajiri yanayowalaghai wanaotafuta ajira kwa ahadi za uongo. Wakati wa mpango wa kikazi wa Kenya-Austria balozi wa Austria nchini Kenya Christian Fellner alisisitiza kwamba mataifa hayo mawili yamejitolea kuhakikisha watu wenye ujuzi na wasio na ujuzi wanapata fursa halali za ajira ndani na nje ya nchi kupitia njia za kisheria. Zaidi ya wakenya elfu moja wenye ujuzi na wasio na ujuzi wanafanya kazi nchini Austria katika sekta mbalimbali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News