Skip to main content
Skip to main content

Kesi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa chuo kikuu cha Daystar Lorna Kathambi yawasilishwa tena

  • | KBC Video
    5,916 views
    Duration: 2:52
    Kesi kuhusu kifo cha mwanafunzi wa chuo kikuu cha Daystar, Lorna Kathambi, aliyefariki baada ya kudaiwa kuanguka kutoka barazani mwa jengo la Harmony Plaza eneo la Ngara jijini Nairobi tarehe 23 mwezi jana, iliwasilishwa tena katika Mahakama ya Milimani leo. Maafisa wa polisi wamekamilisha uchunguzi wao na idara ya upelelezi wa jinai sasa inapendekeza suala hilo liangaziwe kupitia uchunguzi wa wazi mahakamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive