Seneta wa Kakamega Bonny Khalwale ameondolewa kwenye wadhifa wa kiranja wa walio wengi bungeni. Katika taarifa yake, spika wa bunge la seneti Amason Kingi, alisema kuwa chama tawala kiliamua kumpa wadhifa huo seneta wa Bungoma Wafula Wakoli. Kwa muda sasa, seneta huyo matata amekuwa akiangaziwa kwa kutofautiana na chama chake. Hayo yakijiri, wabunge sita waliochaguliwa katika bunge la kitaifa na mmoja katika bunge la seneti wameapishwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive