Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki na waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku waliendelea kumkabili kisiasa aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua huku chama cha UDA kikiimarisha kampeni zake katika maeneo ya Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu. Kampeni hizo pia zilihacha katika kaunti ya Baringo, maeneo ya Banissa, Kasipul, Magarini, Malava, Ugunja na wadi 17.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive