Skip to main content
Skip to main content

Kituo kipya cha matibabu ya ugonjwa wa figo chafunguliwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    300 views
    Duration: 1:46
    Balozi wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran humu nchini Dkt. Ali Gholampour ameahidi taifa hilo litaunga mkono juhudi za serikali za kuimarisha matibabu ya ugonjwa wa figo. Gholampour alisema haya wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha usafishaji wa damu pamoja na wadi ya kujifungulia kina mama katika hospitali ya Iran jijini Nairobi. Mkurugenzi wa huduma za tiba katika wizara ya afya Dkt. Andrew Toro alipongeza mpango huo akisema utasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa wanaohitaji huduma za usafishaji damu Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive