Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kila mwaka la chama cha mahakimu na majaji lafunguliwa

  • | KBC Video
    245 views
    Duration: 3:29
    Naibu rais Prof. Kithure Kindiki ameyahimiza mataifa ya kanda ya Afrika mashariki kuimarisha vita dhidi ya uhalifu wa kimataifa na kuimarisha mifumo ya haki inayowaangazia watu akionya kwamba ushirikishi duni wa idara ya mahakama hutatiza usalama wa kanda hii na ufanisi wa kiuchumi. Aliyasema hayo wakati wa kufunguliwa kwa kongamano la kila mwaka la chama cha mahakimu na majaji lililohudhuriwa na zaidi ya maafisa 500 wa idara ya mahakama kutoka nchi nane. Mwanahabari wetu Ben Chumba anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive