Skip to main content
Skip to main content

Maambukizi ya Ukimwi yaongezeka nchini

  • | KBC Video
    545 views
    Duration: 5:32
    Kenya ilinakili visa 19,991 vipya vya maambukizi ya HIV mwaka 2024. Hili ambalo ni ongezeko la zaidi ya visa 3,200 vipya vya maambukizi kutoka mwaka uliotangulia linatatiza azma ya serikali ya kukomesha janga hilo humu nchini kufikia mwaka 2030. Hta hivyo serikali imepiga hatua kubwa katika matibabu huku kukiwa na mipango ya kutekeleza tiba ya sindano ya kukabiliana na makali ya virusi vya HIV mwaka 2026 ili kuimarisha uzingativu wa matibabu na kuwapunguzia wagonjwa shinikizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive