- 174 viewsDuration: 1:30Wasiwasi umeibuliwa kuhusu kuzorota kwa usalama barabarani kufuatia ajali mbili mbaya zilizotokea wikendi iliyopita katika kaunti za Machakos na Makueni na kusababisha vifo vya watu 10. Wataalamu wa masuala ya usalama barabarani wanawalaumu madereva wa malori kwa kutotii kanuni za barabrani na kuhusika kwenye ajali zinazohusisha magari ya uchukuzi wa umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive