Skip to main content
Skip to main content

Makatibu wa wizara mbalimbali wajitokeza kutetea utendakazi wa serikali

  • | KBC Video
    19 views
    Duration: 2:05
    Makatibu wa wizara mbalimbali wamejitokeza kutetea rekodi ya maendeleo ya serikali. Zaidi ya makatibu kumi wakiongozwa na katibu wa idara ya elimu ya msingi Julius Bitok, walisema hakuna eneo la nchi hii litaachwa nyuma wakati wa utekelezaji wa manifesto ya serikali iliyopo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive