Skip to main content
Skip to main content

Mashirika yasiyo ya serikali yatakiwa kujiwianisha na serikali ya kaunti ya Mandera

  • | KBC Video
    334 views
    Duration: 3:27
    MASHARTI YA UBIA MANDERA Serikali ya kaunti ya Mandera, imetoa changamoto kwa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayoendeleza shughuli zake katika eneo hilo kuhakikisha miradi yao inaambatana na mpango wa maendeleo wa kaunti- (CIDP). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji katika eneo la Mata Safara, katika kaunti huyo, waziri wa maji, kawi na mazingira katika kaunti ya Mandera Mahamud Eda alisema hatua hiyo itahakikisha matumizi bora ya maji. Mradi huo ulianzishwa na umoja wa ulaya kupitia shirika la kimataifa kuhusu uhamiaji (IOM) na kutekelezwa na shirika la maendeleo endelevu barani Afrika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive