Waziri wa Maji na Unyunyiziaji maji mashamba, Eric Mugaa, amezindua Mradi wa kilimo wa Kandeki katika Kaunti Ndogo ya Kirinyaga Mashariki, hatua muhimu inayolenga kuwezesha wakulima kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kuongeza akiba ya chakula na kuziongezea kipato familia katika eneo hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive