Skip to main content
Skip to main content

Mtihani wa kidato cha nne kukamilika juma hili

  • | KBC Video
    82 views
    Duration: 3:07
    Serikali imetoa hakikisho kuwa uadilifu wa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne – KCSE utadumishwa, huku mtihani huo ukitarajiwa kukamilika wiki hii. Waziri wa elimu Julius Ogamba alisema maandalizi ya usahihishaji wa mtihani huo yanaendelea, wasimamizi wa vituo vya mtihani wakijukumiwa kudumisha nidhamu wakati wa mtihani huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive