KILIO CHA HAKI
Maafisa wa polisi jijini Nairobi wanachunguza mauaji ya kikatili ya mwanamume wa umri wa makamo katika mtaa wa South B hapo jana. Inadaiwa Anthony Olwal alikuwa ameenda kuwasilisha bidhaa katika jumba la Meridian, kabla ya kifo chake kuripotiwa. Polisi wamesema wauaji wa mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 30 wanasakwa baada ya kutoweka, huku familia ya marehemu ikitaka uchunguzi kamilifu wa mauaji hayo ufanywe.
#Darubini
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive