- 5,124 viewsDuration: 3:05Huzuni lilitanda katika Uwanja wa Ndumberi katika Kaunti ya Kiambu huku wanamuziki, familia na marafiki wa marehemu Beatrice Wairimu Mbugua almaarufu Betty Bayo wakikusanyika kumpa mkono wa buriani mwanamuziki huyo maarufu. Bayo alifariki Jumatatu Novemba 10, mwaka 2025 alipokuwa akipokea matibabu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta baada ya kuugua Ugonjwa wa saratani ya damu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive