MIZANI YA HAKI
Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah amewasilisha kesi mahakamani kupinga mamlaka ya tume huru ya uchaguzi na mipaka ya kukagua, kubatilisha au kuhesabu upya matokeo ya uchaguzi katika kituo cha kitaifa cha kuhesabu kura. Omtatah alisema kifungu cha 39 cha sheria ya uchaguzi , ambacho kiliratibisha kuzinduilwa kwa kitio cha kitaifa cha kukagua na kuhesabu kura kinakiuka katiba na kutoa fursa ya kuibua mchanganyo au kuhujumiwa kwa kura. Kwenye kesi hiyo, mwanasheria mkuu pia alikosolewa kwa kukosa kuishauri serikali kuhusu uhalali huo kuambatana na katiba.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive