Wadau wa sekta ya ujenzi wanatoa wito wa ushirikiano kati ya serikali na wawekezaji wa kibinafsi ili kufanikisha ujenzi wa nyumba zaidi, kufuatia ongezeko la hitaji la nyumba humu nchini. Upungufu wa makazi nchini Kenya umekuwa ukiongezeka, huku hitaji la zaidi ya nyumba laki mbili kila mwaka likizidi kiwango cha ujenzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive