Skip to main content
Skip to main content

Pendekezo la kubadilisha sheria kuhusu washtakiwa lapingwa

  • | KBC Video
    109 views
    Duration: 1:55
    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Igonga amepuuzilia mbali miito ya kufanyia katiba marekebisho ili kuwezesha idara ya upelelezi wa jinai na tume ya maadili na kupambana na ufisadi kutwaa mamlaka ya kuwashtaki washukiwa, akionya kwamba hatua kama hiyo itaathiri mfumo wa sheria wa Kenya. Akiwa mbele ya kamati ya seneti kuhusu mshikamano wa kitaifa, Renson alisema mapendekezo ya umma ya hivi majuzi ya kuwezesha asasi za uchunguzi kuwa na mamlaka ya kushitaki, hayafai na yanatishia kuvuruga jukumu la kikatiba la afisi ya mkurugenzi wa mashitaka ya umma. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive