- 309 viewsDuration: 44sRais William Ruto anaelekea jijini Luanda, Angola, kuhudhuria kongamano la saba baina ya muungano wa Afrika na ule wa Ulaya pamoja na kikao cha pili cha kamati maalum ya kutathmini utendakazi kuhusu mageuzi ya kitaasisi katika muungano wa Afrika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive