Rais William Ruto amehimiza washirika wa maendeleo barani afrika kuunga mkono ukuaji wa viwanda badala ya kuendeleza utamaduni wa utegemezi. Akihutubia mkutano wa saba wa Muungano wa Afrika na Jumuiya ya Ulaya huko Luanda, Angola, leo, rais alizihimiza Nchi za Afrika na washirika wao kujitenga na uhusiano wa kuchimba rasilimali na badala yake kukumbatia uzalishaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive