- 109 viewsDuration: 1:12Rais William Ruto alikutana na rais wa baraza la Jumuiya ya Ulaya, António Costa pembeni mwa kongamano la saba la viongozi wa Jumuiya ya Afrika na Jumuiya ya Ulaya mjini Luanda, Angola. Rais alimpongeza Costa kwa kuchaguliwa kuwa rais wa nne wa baraza hilo na akaahidi kuimarisha uhusiano baina ya Kenya na Jumuiya ya Ulaya. Kongamano hilo litajadili usalama wa kikanda na ushirikiano baina ya bara Afrika na Ulaya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive