- 317 viewsDuration: 2:52Rais William Ruto leo aliongoza hafla muhimu ya kidiplomasia katika Ikulu ya Nairobi ambapo alipokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita wapya. Hafla hiyo inaashiria mwanzo wa ushirikiano mpya wa kidiplomasia na kuimarika kwa mahusiano ya kimataifa kati ya Kenya na mataifa hayo sita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive