Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema anaandaa Kenya kufika kiwango cha mataifa yaliyostawi katika miaka 30 ijayo

  • | KBC Video
    243 views
    Duration: 3:13
    Rais William Ruto amesema anaandaa nchi hii kupiga hatua kubwa na kufika kiwango cha mataifa yaliyostawi katika muda wa miaka 30 ijayo. Akiongea katika kanisa la AIC Milimani Nairobi, alisema kuwa huduma muhimu kama afya, elimu na uchumi ambazo zilikuwa na changamoto sasa zimeanza kurekebishwa na sasa Kenya iko tayari kuanza safari ya maendeleo makubwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive