Rais William Ruto ameutaja ushindi kwenye chaguzi ndogo za ubunge hapo jana kuwa ishara ya imani ya wakenya kwa serikali jumuishi. Akiwapongeza washindi wa vyama vya ODM na UDA katika maeneo bunge ya Mbeere Kaskazini, Malava, Banissa, Ugunja, Kasipul, Magarini na Baringo, Rais aliwaonya viongozi wa upinzani kwamba malumbano yao ya kisiasa hayatawasaidia kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive