Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua miradi kadhaa kaunti ya Garissa

  • | KBC Video
    13,893 views
    Duration: 3:19
    Rais William Ruto amesema hakuna eneo litakaloachwa nyuma katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kote nchini. Rais aliyezungumza alipozindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu huko Ijara kaunti ya Garissa, pia alisema eneo hilo likipata maji ya unyunyizaji mashamba maji kupitia ujenzi wa mabwawa, maeneo ya kaskazini ya Kenya na Pwani yatakuwa kitovu cha chakula katika taifa hili siku za usoni. Giverson Maina na taarifa hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive