KAULI ZA WANASIASA
Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku sasa anasema kwamba matokeo ya chaguzi ndogo zilizokamilika hivi punde zinaashiria kwamba Wakenya wamekataa siasa za migawanyiko. Katika kile kilichoonekana kuwa kumlenga kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, waziri Ruku alisema ushindi wa UDA katika uchagzi mdogo wa Mbeere Kaskazini, ni dhibitisho kwamba eneo la Mlima Kenya linaiunga mkono serikali. Wakati uo huo waziri wa masuala ya vijana na michezo Salim Mvurya ametahadharisha vijana dhidi ya kutumiwa na wanasiasa kuzua ghasia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive