Skip to main content
Skip to main content

Ruto : Kenya kuiga mfano wa Malaysia kuafikia ufanisi

  • | KBC Video
    186 views
    Duration: 3:42
    Rais William Ruto amesema taifa hili linafuata nyayo za Malaysia kwenye safari ya kubadilika kutoka taifa linalostawi hadi lile lililostawi kupitia uwekezaji katika sekta za miundombinu, kawi na biashara miongoni mwa nyingine. Rais Ruto aliyasema hayo alipokutana na waziri mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim kwenye ikulu ya Nairobi. Viongozi hao wawili walitia saini mikataba ya maelewano ukiwemo ule utakaorahisisha usafiri baina ya mataifa haya mawili. Giverson Maina anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive