- 26,518 viewsDuration: 4:22Rais William Ruto aliungana na viongozi wengine duniani kushuhudia kutiwa saini kwa mkataba wa kihistoria baina ya Rwanda na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo jijini Washington DC nchini Marekani. Mkataba huo wa amani uliosainiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa DRC Felix Tshisekedi, unalenga kusitisha mzozo wa kipindi cha miongo mitatu ambao umekumba eneo la mashariki ya Congo na kusababisha vifo vya mamia ya raia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive