Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, ametetea uamuzi wake wa kuhamisha usimamizi wa fedha za hospitali za kaunti hadi kwenye benki ya Sidian akisema ina viwango bora vya riba ikilinganishwa na benki nyingine. Akiwa mbele ya kamati ya bunge la seneti kuhusu ugatuzi, Sakaja alisema serikali ya kaunti inapania kuhamishia akaunti zake zote hadi benki ya Sidian akisisitiza kwamba hakuna sheria iliokiukwa kwenye hatua hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive