Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaanzisha mikakati ya kuondoa wafanyikazi hewa katika utumishi wa umma

  • | KBC Video
    200 views
    Duration: 3:39
    Serikali inaanzisha mikakati ya kuwaondoa wafanyikazi hewa kutoka sajili ya malipo ya sekta ya utumishi wa umma. Akiongea wakati wa makala ya sita ya hafla ya utoaji tuzo kwa wadau wa masuala ya wafanyikazi mwaka-2025 jijini Nairobi, katibu katika wizara ya utumishi wa umma Dkt Jane Imbunya amesema tayari arifa imetumwa kwa taasisi mbalimbali za serikali, na idara hiyo inasubiri majibu yao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive