Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabaran i(NTSA) pamoja na maafisa wa polisi wa trafiki wametangaza hatua kali za kuzuia ajali za barabarani wakati wa msimu huu wa sikukuu. Kulingana na masharti hayo, madereva watakaokiuka sheria za trafiki watatozwa faini papo hapo. Kadhalika, madereva wameonywa dhidi ya kuendesha magari wakiwa wamelewa huku wanaotembea kwa miguu wakitakiwa kuwa waangalifu wanapotumia barabara. Joseph Wakhungu anatuarifu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive