Skip to main content
Skip to main content

Shughuli kabambe ya kuwachanja mifugo kote nchini yazinduliwa

  • | KBC Video
    75 views
    Duration: 2:49
    Sekta ya mifugo humu nchini imeanza kuangaziwa upya huku serikali na washirika wa afya ya mifugo wakiimarisha shughuli ya utoaji chanjo kote nchini. Maafisa hao wanasema shughuli hii ni muhimu katika kulinda ng’ombe, kondoo na mbuzi dhidi ya magonjwa yanayotishia biashara na akiba ya chakula. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive