- 47 viewsDuration: 1:34Ripoti kuhusu ustawi wa elimu ya chekechea katika kaunti ya Kwale inaonyesha kuwa miundombinu kwenye shule nyingi haifai kwa watoto walio na ulemavu. Ripoti kutoka kwa bodi ya ushauri wa jamii ya KIDSCARE imebainisha madarasa na vifaa vya elimu kama changamoto kuu zinazowakumba wanafunzi wa chekechea walio na ulemavu katika kaunti hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive