Maelfu ya washiriki wamehudhuria tamasha mashuhuri ya kitamaduni yaLamu ambayo huandaliwa kuonesha turathi za jamii ya wa-Swahili. Wakazi wanasema tamasha hiyo sio muhimu kwa kuangazia utamaduni tu, bali pia inapiga jeki uchumi wa eneo hilo. Wenye hoteli, wahudumu wa mashua na wafanyabiashara wamevuna pakubwa kutokana na idadi kubwa ya watu wanaohudhuria tamasha hiyo ya siku tatu.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive