Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya Piny Luo yaonyesha utamaduni wa jamii ya Luo

  • | KBC Video
    3,550 views
    Duration: 2:39
    Urithi wa kitamaduni wa jamii ya Luo ulisherehekewa kikamilifu kwenye Tamasha ya Piny Luo mwaka 2025 iliyoandaliwa katika kaunti ya Migori. Ngoma na nyimbo za makundi na wasanii mashuhuri zilivutia vijana na wazee. Huu hapa ni muhtasari wa tamasha hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive