Baadhi ya wanachama wa Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo (KUPPET) katika Kaunti ya Migori wameutaka uongozi wa chama hicho, wakiongozwa na Katibu Mkuu, Akelo Misori, kutupilia mbali uamuzi wa kubadili eneo la upigaji kura kwa uchaguzi wa mwaka ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive