Skip to main content
Skip to main content

Truphena Muthoni: Mkenya aliyevunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kukumbatia mti kwa siku tatu

  • | BBC Swahili
    10,010 views
    Duration: 1:53
    Bi Truphena Muthoni aligonga vichwa vya habari majuzi alipoukumbatia mti kwa saa 72 katika jitihada za kuweka rekodi mpya ya dunia kwa mujibu wa madaftari ya kumbukumbu y a Guinness kama mtu aliyeukumbatia mti kwa muda mrefu zaidi. - Binti huyu mwenye umri wa miaka 22 tayari ametunukiwa tuzo ya heshima na ni balozi wa mazingira wa Rais William Ruto wa Kenya. - Wazo lilitoka wapi ? - Aliajiandaaje kusimama bila kula wala kwenda haja kwa siku 3? - Haya ni baadhi ya maswali ambayo mtangazaji wetu @beldeenwaliaula alimuuliza bi Muthoni punde baada ya kutoka ikulu ya Nairobi. - - - #mazingira #truphenamuthoni#bbcswahili #foryou #kenya #mazingira #miti #GuinnessWorldRecord Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw