Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi Mdogo Magarini: Wakazi wawataka wawaniaji kudumisha amani

  • | KBC Video
    208 views
    Duration: 1:20
    Wakazi wa eneo laMagarini katika kaunti ya Kilifi wamewarai wanasiasa kuheshimu sheria na kanuni wakati wa uchaguzi mdogo wa kiti hicho ulioratibiwa juma hili. Wakazi hao wanasisitiza haja ya kudumisha amani na utulivu wakati kampeni za uchaguzi huo zikielekea kikomo. Wawaniaji 10 wameelezea nia ya kuwania kiti hicho cha ubunge ambapo ushindani mkali unatarajiwa kuwa kati ya wagombeaji wa vyama vya ODM na DCP. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive